UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO. TAREHE 20/03/2015.

WIZARA YA UCHUKUZI                              MAMLAKA   YA HALI YA HEWA S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM Fax: 2460735. email: met@mete... thumbnail 1 summary

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 20/03/2015.

[Mikoa ya Morogoro (Kaskazini), Mtwara na Lindi]:
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo  mengi na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Singida na Dodoma]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vifupi vya jua.
[Mikoa ya Kigoma, Tabora, Kagera na Geita]:
[Mikoa ya Ruvuma na Morogoro (Kusini)]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa na Njombe]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Mara]:

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
                                                                                                    TAHADHARI:
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA TANGA,
DAR -ES -SALAAM, PWANI, MOROGORO, LINDI, MTWARA PAMOJA NA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
29°C
18°C
12:39
12:44
D'SALAAM
32°C
23°C
12:28
12:33
DODOMA
29°C
20°C
12:42
12:47
KIGOMA     
29°C
20°C
01:06
01:11
MBEYA
24°C
15°C
12:51
12:56
MWANZA
30°C
20°C
12:53
12:58
TABORA
31°C
15°C
12:54
12:59
TANGA
31°C
24°C
12:29
12:34
ZANZIBAR
31°C
23°C
12:28
12:33
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kusini Kwa Pwani
ya Kaskazini na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 22/03/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 20/03/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.