WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA
3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 15/04/2014.
[Mikoa ya Kigoma, Tabora,
Katavi na Morogoro (Kaskazini)]:
[Mikoa
ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa
ya Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Visiwa
vya Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya Mawingu, mvua na
ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
|
[Mikoa
ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya,
Iringa, Ruvuma na Mahenge]:
[Mikoa
ya, Lindi na Mtwara,]
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua
katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
ANGALIZO
VIPINDI VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO MACHACHE YA
PWANI YA KASKAZINI (MIKOA YA DAR ES SALAAM, PWANI, TANGA NA VISIWA VYA UNGUJA
NA PEMBA).
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA
JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
24°C
|
17°C
|
12:35
|
12:36
|
D'SALAAM
|
31°C
|
23°C
|
12:26
|
12:23
|
DODOMA
|
27°C
|
18°C
|
12:40
|
12:37
|
KIGOMA
|
31°C
|
22°C
|
01:03
|
01:02
|
MBEYA
|
23°C
|
14°C
|
12:50
|
12:45
|
MWANZA
|
29°C
|
19°C
|
12:49
|
12:50
|
TABORA
|
30°C
|
18°C
|
12:51
|
12:50
|
TANGA |
32°C
|
24°C
|
12:26
|
12:25
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
25°C
|
12:26
|
12:23
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kutoka Mashariki kwa Pwaniya
Kaskazini na kutokea Kusini –Mashariki kwa Pwani ya Kusini
Hali ya
bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi madogo madogo.
Matazamio kwa siku ya Alhamis:
17/04/2014: Ongezeko la mvua katika
ukanda wa Pwani ya Kaskazini..
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 15/04/2014.
Na: MAMLAKA
YA HALI YA HEWA TANZANIA.