Simba avamia gari la watalii, angalia kilichotokea

Vipo vingi vya kuviletea mazoea, lakini sio simba ndugu yangu, hata wataalamu wa masula ya wanyama wanasema nidhamu ni kitu muhimu unapok... thumbnail 1 summary
Vipo vingi vya kuviletea mazoea, lakini sio simba ndugu yangu, hata wataalamu wa masula ya wanyama wanasema nidhamu ni kitu muhimu unapokuwa ndani ya hifadhi, tabianchi blog

Sasa watalii kadhaa waliona wanaweza kujiachia tu na kumchokoza simba kilichowakuta sidhani kama watarudia tena, kwa wale watu wa kanda ya ziwa ukisikia nenno kama 'kabili ng'wanza!' unaweza kuelewa.

Nisiseme sana shuhudia simba wa jangwani alivyowavamia watalii hawa huko Namibia 
gallery_673_54_20905 gallery_673_54_25907 gallery_673_54_29804
gallery_673_54_53541
gallery_673_54_7938 gallery_673_54_4163 gallery_673_54_4191 gallery_673_54_20692 gallery_673_54_20172
The lion smashed one of the windows...
The lion smashed one of the windows…
...and made a mess of the paint and bodywork with his claws
…and made a mess of the paint and bodywork with his claws
gallery_673_54_7390