Karibu tena kwenye blog yako ya tabianchi na leo hii nimeona nikuletee orodha ya ndege wakubwa sita wasioruka, kimombo wanajulikana kama ‘flightless birds’. Ndege hao ni pamoja na mbuni, emu, cassowary, rhea, kiwi na pengwini
Mbuni ni ndege wakubwa wa familia Struthionidae lakini hawawezi kuruka angani
EMU
PENGUIN
KIWI
CASSOWARY
RHEA